ArticleKingBet

Mshindi wa Kwanza wa BUTUA NA AFCON Amepatikana!

Mshindi wa Kwanza wa BUTUA NA AFCON Amepatikana!
Mshindi wa Kwanza wa BUTUA NA AFCON Amepatikana!

Mshindi wa Kwanza wa BUTUA NA AFCON Amepatikana!

Kampeni kubwa ya BUTUA NA AFCON kutoka KingBet imeanza kwa kishindo, na tayari mshindi wa kwanza ameshapatikana rasmi. Hii ni uthibitisho mwingine kwamba KingBet si maneno tu ila wakisema wanatenda bila longo-longo!

Mshindi huyo ni Haji Hassan kutoka Sengerema, mkoa wa Mwanza, ambaye ameondoka na zawadi kali kabisa 👉🏽 Samsung A07 pamoja na Router ya Airtel yenye bando la mwezi mzima. Ushindi huu unaonesha wazi kuwa kampeni ya BUTUA NA AFCON imeanza kudondosha ushindi kwa wafalme wake wanaobashiri kupitia Airtel na zawadi zinaendelea kushuka kwa wachezaji wa KingBet.

Kilicho kizuri zaidi ni kwamba kushinda ni rahisi sana. Mchezaji anachotakiwa kufanya ni:

👉🏽 Kujisajili kupitia www.kingbet.co.tz

👉🏽 Kuweka pesa kwenye akaunti yake kupitia Airtel Money

👉🏽 Kisha kusuka jamvi lenye angalau mechi moja ya AFCON

Baada ya hapo, mchezaji anaingia moja kwa moja kwenye nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali zinazoendelea kutolewa katika kampeni hii.

Kwa wale wanaohitaji msaada au maelezo zaidi, Tuvutie huduma kwa wateja KingBet na tupo tayari kukuhudumia 👉🏽 0222 226 666.

Kampeni bado inaendelea, zawadi bado zipo, na mshindi anayefuata anaweza kuwa wewe na zawadi bado ni nyingi kuna BODA-BODA, iPhone 17, Samsung na routers kibao.