
MSHINDI WA BODA BODA YA BUTUA NA AFCON
Bwana Nicholas kutoka Morogoro ndio mshindi mkubwa wa Kampeni ya BUTUA NA AFCON kutoka KINGBET Kwa kujishindia Boda Boda aina ya Boxer. Katika mahojiano na mshindi ameeleza namna BODA BODA hiyo itabadilisha maisha yake ambapo kwa sasa ameajiriwa kwenye boda boda ya mtu mwingine ila kupitia KINGBET hivi sasa na yeye anamiliki piki piki yake mpyaa!!!
KINGBET ni kampuni bora ya kubashiri michezo, casino na aviator yenye OFA nyingi zaidi, Malipo ya haraka, Zawadi za kila wiki na kubwa kulio in acash out ya nguvu kuhakikisha hupotezi uwekezaji wako.
JISAJILI SASA – WWW.KINGBET.CO.TZ Upate BONUS ya 2000 papo hapo.



