KingBetArticle

iPHONE 17 mbili zimeenda MTWARA na MKURANGA! KINGBET

iPHONE 17 mbili zimeenda MTWARA na MKURANGA!

iPHONE 17 mbili zimeenda MTWARA na MKURANGA! KINGBET

Kampeni kubwa ya BUTUA NA AFCON kutoka KingBet inaendelea kumwaga mizawadi kwa kishindo, na tayari washindi wa iPHONE 17 mbili wamepatikana kwenye droo iliochezeshwa Leo, Hii ni uthibitisho mwingine kwamba KingBet si maneno tu ila wakisema wanatenda bila longo-longo!

Washindi hao ni Hamisi Abdallah kutoka Mtwara na Iddy Gunda kutoka Mkuranga. , ambaye ameondoka na zawadi kali kabisa 👉🏽 iPHONE 17 pamoja na Router ya Airtel yenye bando la mwezi mzima. Ushindi huu unaonesha wazi kuwa kampeni ya BUTUA NA AFCON kutoka KingBet imeanza kudondosha ushindi kwa wafalme wake wanaobashiri kupitia Airtel na zawadi zinaendelea kushuka kama mvua.

Zawadi inayofata ni BODA BODA mpyaa yaani kitu ndani ya makaratasi kinakusubiri!!!! Sasa kushinda ni rahisi sana

👉🏽 Kujisajili kupitia www.kingbet.co.tz

👉🏽 Kuweka pesa kwenye akaunti yake kupitia Airtel Money

👉🏽 Kisha kusuka jamvi lenye angalau mechi moja ya AFCON

Baada ya hapo, mchezaji anaingia moja kwa moja kwenye nafasi ya kushinda zawadi mbalimbali zinazoendelea kutolewa katika kampeni hii.

Kwa wale wanaohitaji msaada au maelezo zaidi, Tuvutie huduma kwa wateja KingBet na tupo tayari kukuhudumia 👉🏽 0222 226 666.

Kampeni bado inaendelea, zawadi bado zipo, na mshindi anayefuata ni WEWE!