Up Coming Artist
Up Coming Artist
Hii inawahusu zaidi wasanii wanaopata changamo ya namna yakuweka ngoma zao katika mitaanda ninayoolozesha hapa chini
- Apple Music
- Spotify
- Shazam
- Audio Mack
- Boom Play
- iTune
- YouTube
- TikTok
- SnapChat
- Deezer
- Pandara
- SoundExchang
- Twitch
- Sound Cloud
- Vodafone Music
- Sound Track
- Tidal
- YouTube Music
Tukishaweka nyimbo zako Kaatika mitandao Hiyo Moja kwa Moja Utakusanyiwa mapato yako kwa wasikilizaji wako kulingana na idadi ya watu waliosikiliza kazi zako,
Huduma hii Tunaitoa bule kwa wasanii ambao hawawezi kufikisha kazi zao katika website tajwa hapo juu” pia tunatoa ushari na kuweka urinzi mkali katika account zako zote .
Ili nyimbo zako ziweze kufika katika hiyo mitandao apo juu gharama zake ni shilingi 40,000/= za kitanzani na malipo haya unalipia kila mwaka, maana yake unamlipa anaekukusanyia mapato yako kwenye Seva yake.
KUWEKA NYIMBO KIBABOY.COM UTALIPIA 10,000/= KWA NAMBA HII 0627107012 JINA: SWAHIBU HASSANI AU 0625622202 JINA FADHIRI HASSANI
Cha muhimu zaidi huduma hii tunawapatia wasanii wanaoleta kazi zao Kibaboy.com
KAMA UTAKUA NA SWALI LOLOTE AMBAPO HUJAELEWA NAWEKA MAWASILIANO YANGU PAMOJA NA LINK YA WhatsApp Hapa chini.
Bonyeza hapa WhatsApp Link yangu
+255627107012
Email: [email protected]