NewsHabari Za WanavyuoTanzanian Music
NANI ANARUN GAME KIMATAIFA HIVI SASA?

🔥 NANI ANARUN GAME KIMATAIFA HIVI SASA? 🌍🎵
Kutoka kwenye show za kimataifa, collaboration na mastaa wa nje, streaming platforms, hadi ushawishi (influence) duniani, ni nani kati ya hawa wasanii wa Tanzania anayeshikilia nafasi ya juu kwa sasa?
🏆 Wagombea ni hawa:
1️⃣ Diamond Platnumz
2️⃣ Jux
3️⃣ Marioo
4️⃣ Dayoo
5️⃣ Harmonize
6️⃣ Mbosso
7️⃣ Rayvanny
8️⃣ Alikiba
9️⃣ Zuchu
🔟 Nandy
👇 Comment JINA MMOJA TU unayeamini ndiye anaongoza kimataifa kwa sasa.
💬 Toa maoni yako na sababu kama unataka, lakini jibu kwanza kwa jina moja tu!
⚠️ Hakuna kuruka swali. Hakuna kujibu wawili. Chagua mmoja tu! 🔥🌍🎶





