
KingBet Yatinga Kibaha kukabidhi Friji kwa Mshindi wa “Butua kwa Buku”
Furaha na shamrashamra zilijaa Kibaha baada ya mshindi wa kampeni ya “Butua kwa Buku” kukabidhiwa zawadi yake ya friji mpya kabisa. Bw. Juma Ally ni moja kati ya washindi wawili wa Friji mpyaa kutoka KingBet.
Huku zawadi zikizidi kudondoshwa kila wiki na Zamu hii tunakwenda kutoa runinga ( TV ) Mpya! Kwa washindi wawili wa kampeni kubwa ya Butua kwa BUKU.
Kushinda TV ni rahisi sana:
– Zama – www.kingbet.co.tz
– Jisajili au ingia kwenye akaunti yako na suka mkeka wako kuanzia dau la BUKU au zaidi kisha sikilizia simu yetu ya kukutangaza kuwa mshindi.
Kwa Nini Ushiriki?
KingBet inaendelea kujitofautisha kwa:
Zawadi inayofata ni yako MFALME!
Zama sasa 👉 www.kingbet.co.tz Suka mkeka wako kwa dau la BUKU moja tu, na ushinde!
KingBet shinda KIfalme!



