AUDIO Munta Dee – Kuwa Serious | Mp3 Download

Munta Dee Today has dropped new audio “Kuwa Serious” is an Official Audio Release, Listen below the Brand New song Munta Dee – Kuwa Serious


Ngoja kwanza kwa majina tujuane
Kuna Sele kuna Iddi kuna Hassani
Tumekula tumekunywa tupo nane
Mbona bill imekuja eti mnikanee
Hii nini hi nini (bill yako iyo)
Sasa mbona mnanipa mimi (Kasema we ndio tajiri)
Kwani tupo wangapi kwani? (Mezani tupo watu nane)
Haya weita hii bill igawe kwa nane
Oya wanangu Wallet siioni (Kuwa serious) Nipo serious
Home tutaondokaje (Kuwa serious) Nipo Serious
Oya Masela Wallet siioni (Kuwa serious) Nipo serious
Nyumbani tutaondokaje (Kuwa serious) Nipo Serious
Tutatembea kwa miguu kama wafarisayo
Mi sio tozzy wewe
Kuna mtoto anacheza chura kanichanganya
Sura ya baba cha ajabu kajazwa nyama
Nataka kumfata ila demu wangu ndio ananibana
Na amesema nikichit tunaachana
Kwani kuachana bei gani? (Buku jero)
Nipeni ilo buku ilo jero baki naloo
Kwani kurudiana bei gani? (Buku mbili)
Mimi nina buku jero na lile jero buku mbili
Oya mjuba umebakisha hela ya supu
Hapa nina mia 3 na chenchi imebaki bukuu
Nakupa ratiba mpaka kucheni nipo huku
Jero chapati bati flagin mia tano napata supu
Hunijui sukujui sa mbona unaleta hisia
Eti twende woote home je itakuwaje ukinifiaa
Emu ngoja kwanza adasco shika shika
Mbona Wallet siioni (Kuwa serious) Nipo serious
Hapa umekuja wewe tu (Kuwa serious) Nipo Serious
Oya wanangu Wallet siioni (Kuwa serious) Nipo serious
Nyumbani tutaondokaje (Kuwa serious) Nipo Serious
Tutatembea kwa miguu kama wafarisayo