
Watanzania sasa wanaweza kushinda papo hapo kwa TSh 100 tu – Tatu Pesa kutoka SportPesa
Katika hatua ya kuburudisha wapenzi wa michezo ya kubahatisha nchini Tanzania, kampuni ya SportPesa inawakaribisha wote kucheza mchezo mpya wa kusisimua uitwao Tatu Pesa. Tatu Pesa ni mchezo wa haraka, nafuu na unaotoa fursa ya kushinda papo hapo kwa kuchagua sanduku moja tu la bahati.
Kwa Shilingi 100 tu, sasa Watanzania wote wanaweza kuonja msisimko wa kushinda papo hapo kupitia simu zao za mkononi, bila haja ya intaneti.
Tatu Pesa ni nini? Chagua Sanduku moja – Na ushindi wako upo hapo
Tatu Pesa ni mchezo wa bahati unaokuwezesha kuchagua sanduku moja kati ya matatu, ambapo moja linahifadhi ushindi. Mteja anapochagua sanduku sahihi, anashinda papo hapo – na kinachovutia zaidi ni kwamba matokeo yanaonekana mara moja kwenye skrini ya simu yako.
Hii ni nafasi ya pekee kwa Watanzania kujishindia zawadi kwa haraka na kwa bei nafuu, bila kutumia data wala kuwa na simu janja.
Jinsi ya kushiriki Tatu Pesa
Kushiriki ni rahisi mno. Fuata hatua hizi:
- Piga *150*87# kwenye simu yako
- Chagua kipengele namba 8 – Shinda Fasta
- Kisha chagua kipengele namba 2 – Tatu Pesa
- Chagua sanduku lako la bahati – Bluu, Kijani au Nyekundu
- Utapata matokeo papo hapo kwenye skrini ya simu yako.
- Ikitokea kwamba hujashinda, usikate tamaa, endelea kujaribu bahati yako kwa kucheza tena.
Matokeo yanatolewa mara moja, na ushindi wako utaonyeshwa papo hapo, bila kuchelewa.
Nafuu na inapatikana kwa kila Mtanzania
Kwa kiwango cha chini cha TSh 100, Tatu Pesa inalenga kuwafikia Watanzania wote. Ukiwa kazini, nyumbani au safarini, unaweza kucheza na kushinda papo hapo.
Mchezo huu umebuniwa kwa uwazi na haki. Ushindi wa kasino hutegemea sanduku ulilolichagua na masharti yaliyowekwa na SportPesa.
Kwa nini Watanzania wataipenda Tatu Pesa?
- Matokeo ya papo kwa papo
- Dau la kushiriki ni Tsh 100 tu!
- Hauhitaji intaneti wala simu janja kucheza
- Ni rahisi kucheza na mchezo ni wakusisimua
Cheza sasa na ushinde papo hapo
Kama wewe ni mgeni kwenye michezo ya kubahatisha au umezoea kushiriki, Tatu Pesa ni mchezo wa kusisimua unaokupa fursa ya kushinda bila usumbufu. Na uzuri zaidi? Unahitaji simu tu – hakuna app, hakuna data!
Piga sasa *150*87#, chagua Shinda Fasta > Tatu Pesa, na ujaribu bahati yako.
Tembelea SportPesa Tanzania kwa maelezo zaidi na michezo mingine ya kusisimua.
Je, sanduku lako la bahati ni lipi leo?
Tanzanians can now win instantly with just TSh 100 – Introducing Tatu Pesa by SportPesa
In a fresh twist to mobile gaming in Tanzania, SportPesa continues to attract millions using Tatu Pesa, a fast-paced, affordable game that gives players the opportunity to win instantly by making one simple decision – choosing the lucky box.
With just TSh 100, players across the country can now experience real-time excitement and the possibility of instant cash wins, right from their mobile phones.
The simplicity of Tatu Pesa: One choice, one shot at winning big
Tatu Pesa is a new mobile game where players are presented with three mystery boxes – each box hiding a potential win. The game is based on a simple concept: pick one box, and if it’s the lucky one, you win.
What makes Tatu Pesa stand out is not only the speed at which results are revealed but also how easy it is to participate. No internet connection is required. No smartphone needed. All you need is a mobile phone and TSh 100.
How to play Tatu Pesa
To join the fun, Tanzanians simply need to:
- Dial *150*87#
- Select option 8 – Shinda Fasta
- Choose option 2 – Tatu Pesa
- Pick one of the three boxes options which are blue, green or red displayed on your screen.
- Instantly see whether you’ve won.
- Keep on playing until you can win millions.
The outcome is displayed immediately on your phone, giving you real-time excitement. It’s as easy as making one bold choice and waiting just seconds to know your fate.
Affordable and accessible to all Tanzanians who are looking to win millions
With a minimum stake of TSh 100, Tatu Pesa is designed to be inclusive. Whether you’re commuting, on lunch break, or relaxing at home, the game offers a moment of thrill and the potential to walk away a winner – without breaking the bank.
SportPesa has designed this game for maximum convenience and fairness. All wins are determined based on the box selected and follow the clear terms and conditions set by the company.
Why thousands of Tanzanians are loving Tatu Pesa?
- Quick results – know instantly if you’ve won
- Low entry cost – just TSh 100 to play
- No internet needed – works on all mobile phones
- Exciting gameplay – pick your lucky box and win
Play now and win instantly
Whether you’re a seasoned player or new to mobile gaming, Tatu Pesa brings a fun, fast, and affordable way to test your luck. And the best part? You don’t need data or an app – just your phone and a brave heart.
Dial *150*87# today, select Shinda Fasta > Tatu Pesa, and play your way to instant winnings.
To learn more and explore more thrilling games, visit SportPesa Tanzania.
Your next win could be one box away!